pmbet

Laliga yazuia mashabiki wa Barca wa Miami kumuona Lamine Yamal.

Joyce Shedrack

October 22, 2025
Share :

Ligi Kuu ya Hispania  LaLiga imethibitisha kuwa mchezo uliokuwa umepangwa kuchezwa Nchini Marekani kati ya Barcelona na Villarreal hautachezwa tena Miami Nchini humo kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.
FC Barcelona - Villarreal | La Liga Matchday 37 - FC Barcelona
Laliga wameweka wazi kuwa sababu ya kuahirisha mchezo huo kupigwa nje ya Hispania licha ya Shirikisho la Soka Duniani FIFA kuruhusu ni kutokana na kukosekana kwa muda wa kutosha wa kuandaa ipasavyo tukio hilo kubwa la kihistoria.

Mchezo huo ni rasmi utachezwa nchini Hispania kama kawaida  katika uwanja wa nyumbani wa Vallarreal Estadio la Ceramica disemba 21 mwaka huu na mipango ya kupeleka michezo ya LaLiga nje ya nchi imeahirishwa mpaka pale itakapotangazwa tena.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet