pmbet

Laporta amtaa Messi, amtaja Cruyff

Sisti Herman

March 26, 2026
Share :

 

“KWA MACHO YANGU, CRUYFF ALIKUWA MCHEZAJI BORA ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MPIRA WA MIGUU.”

 

Hayo ni maneno ya Rais wa sasa wa klabu ya Barcelona, Joan Laporta, ambaye anaendeleza vita yake ya baridi dhidi ya Lionel Messi.

 

Cruyff alikuwa mchezaji na kocha wa zamani wa Barcelona anayeheshimika kwa kuleta falsafa ya "Total Football".

 

Inarejelea uhusiano mbaya na wa kimya uliopo kati ya uongozi wa Laporta na Messi tangu mchezaji huyo alipoondoka klabuni hapo mwaka 2021.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet