pmbet

Laporta ashinda Uchaguzi wa Urais Barca

Sisti Herman

March 16, 2026
Share :

 

Katika hatua muhimu kwa mustakabali wa miamba ya Catalonia, Joan Laporta ameshinda rasmi uchaguzi wa urais wa klabu ya FC Barcelona wa mwaka 2026.

Baada ya kampeni iliyojikita katika kuimarisha uchumi wa klabu na kuendeleza vipaji vya La Masia, Laporta amepewa ridhaa ya kuiongoza klabu hiyo kwa muhula mwingine.

Kwa ushindi huu, atabaki madarakani kama rais hadi mwaka 2031, jambo linaloipa klabu utulivu wa kiuongozi wakati wakielekea katika enzi mpya ndani ya uwanja uliokarabatiwa wa Spotify Camp Nou.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet