pmbet

LATRA kutoa tuzo kwa kampuni za Mabasi

Sisti Herman

September 18, 2025
Share :

 

Kuelekea wiki ya usafiri endelevu ardhini .Kauli mbiu ya maadhimisho ya ni ''𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝘀𝗮𝗳𝗶 𝗻𝗮 𝘂𝗯𝘂𝗻𝗶𝗳𝘂 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝘂𝘀𝗮𝗳𝗶𝗿𝗶𝘀𝗵𝗮𝗷𝗶''

Maadhimisho yatafanyika tarehe 24 hadi 29 Novemba 2025,
Zoezi hili litaambatana na Tuzo Tena zilzoboreshwa zaidi kuliko mwaka jana .

Washindi wa mwaka jana:

A} kampuni zenye mabasi Zaidi ya 30

1.SHABIBY
2.HAPPY NATION
3.ABC UPPER CLASS

B} Kampuni zenye mabasi 11-30

1.TILISHO SAFARI
2.SATCO EXPRESS
3.NGASERE HIGH CLASS

C} Kampuni zenye Mabus 3-10

1.SAMA LUXURY
2.ACHIMWENE SAFARI
3.RATCO EXPRESS

JE ! mwaka huu washindi watakua wakina Nani ?

Tuendele kusubiri LATRA watakapokuja na mchakato huu mpya kwa mwaka 2025 .ukiwa na ubunifu mpya na washriki wengi Zaidi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet