pmbet

Lazio waitangazia Man U OFA ya pauni milioni 30 kwa ajili ya Greenood

Eric Buyanza

June 20, 2024
Share :


Lazio wameanza mazungumzo na Manchester United kuhusu uhamisho wa pauni milioni 30 kumnunua mshambuliaji wa zamani wa Uingereza Mason Greenwood.

Lazio wamekuwa wakionesha ni ya kumsajili mchezaji huyo kwa muda refu, ambaye alikuwa kwa mkopo Getafe msimu uliopita.

Klabu za Juventus na Napoli pia wamekuwa wakihusishwa na kutaka kumnunua winga huyo wa Uingereza mwenye umri wa miaka 22.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet