pmbet

Levekursen ya Alonso dhidi ya Atlanta fainali ya Europa League leo

Sisti Herman

May 22, 2024
Share :

Baada ya wiki iliyopita kutwaa Ubingwa wa ligi kuu Ujerumani (Bundesliga) bila kufungwa leo klabu ya Bayer Levekursen itashuka dimbani ikisaka taji lingine dhidi ya klabu ya Atlanta ya ligi kuu Italia kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la ligi Ulaya (Europa League).

Kama endapo Levekusen inayonolewa na kocha Xabi Alonso itashinda mchezo huo watakuwa wameweka rekodi ya kutwaa mataji mawili kitaifa na kimataifa bila kufungwa.

Mchezo huo utachezwa kwenye dimba la Aviva jijini Dublin nchini Ireland.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet