pmbet

Lewandowski atupia goli mbili mechi ya kwanza MLS

Sisti Herman

August 2, 2026
Share :

 

Alfajiri ya kuamkia leo Robert Lewandowski alifunga mabao mawili na kuiongoza Chicago Fire FC kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Charlotte FC katika mechi yake ya kwanza ya msimu wa ligi kuu Marekani (MLS).

Kwenye mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Soldier Field, unakuwa mchezo wa kwanza wa nyota huyo wa Poland baada ya kuwasili akitokea FC Barcelona kwa mkataba wa miaka miwili.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet