pmbet

Liam Delap hana ubora wa kuwa kwenye klabu kubwa - Roy Keane

Eric Buyanza

February 13, 2026
Share :

Gwiji wa Manchester United Roy Keane amesema mchezaji wa Chelsea, Liam Delap aliyesajiliwa kwa ada ya pauni milioni 30 hana ubora wa kuwa kwenye klabu kubwa.

 

Keane pia anasema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 hana ujasiri unaotakiwa wala ubora halisi.

 

Delap alijiunga na Chelsea akitokea Ipswich Town baada ya klabu hiyo kushushwa daraja kwenye michuano hiyo.
 

Alifanya vyema akiwa na Ipswich, akifunga mabao 12 kwenye Premier League, lakini ameshindwa kuonyesha makali yake akiwa na Chelsea msimu huu.

 

Delap ameifungia Chelsea bao moja kwenye Premier League msimu huu, lakini aliumia mwanzoni mwa msimu.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet