pmbet

Libase Gueye hakamatiki kwa upishi wa magoli Ligi Kuu

Sisti Herman

September 18, 2026
Share :

 

Top Assists 🎯🔥📊

Soka Metrics inaonyesha utawala wa viungo na washambuliaji wenye uwezo mkubwa wa kupika mabao:

🥇 1. Libasse Gueye (Simba SC) – Asisti 5 Takwimu: Amecheza dakika 470', akiongoza kwa kishindo kwa kutengeneza nafasi 33 za hatari na kupiga pasi 10 za mwisho (key passes).

🥈 2. Houssein Zakouani (Young Africans SC) – Asisti 3 Takwimu: Alicheza dakika 209' pekee, akitengeneza nafasi 11 na kupiga pasi 4 za mwisho.

🥉 3. Jeance Mboma (Singida Black Stars) – Asisti 3 Takwimu: Alicheza dakika 445', akitengeneza nafasi 12 na kupiga pasi 3 za mwisho.

⭐ 4. Henry David (Singida Black Stars) – Asisti 2 Takwimu: Alicheza dakika 137', akitengeneza nafasi 4 na kupiga pasi 3 za mwisho.

🔥 5. Yusuph Adam (Singida Black Stars) – Asisti 2 Takwimu: Alicheza dakika 183', akitengeneza nafasi 4 na kupiga pasi 2 za mwisho.

Libasse Gueye anaongoza kwa kishindo kikubwa sana akiwa na asisti 5 na kutengeneza nafasi 33!

Unampa nani nafasi ya kuendelea kuongoza kwenye chati ya kutoa pasi za mabao msimu huu? Dondosha maoni yako! 👇

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet