Licha ya kufungwa jana na Man united, Mo Salah aweka historia
Eric Buyanza
March 18, 2024
Share :
Ingawa jana haikuwa siku nzuri kwa Liverpool baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Manchester United kwa mabao 4-3, lakini ilikuwa siku nzuri kwa Mohamed Salah baada ya kufanikiwa kuandika historia.
Salah ametengeneza historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao katika mechi tano mfululizo za ugenini akiwa Old Trafford.