Licha ya Ofa kucheza Saudia, Anthony Martial anatamani kubakia Ulaya
Eric Buyanza
January 15, 2024
Share :
TETESI ZA USAJII
Usajili Mshambulizi wa Manchester United Anthony Martial yuko tayari kukataa ofa ya ya kwenda kucheza ligi ya Saudi Arabia kwasababu anatamani kubakia Ulaya.
Wakati akionesha msimamo huo, West Ham, Inter Milan na Fenerbahce wanadaiwa kutamani huduma ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa mwenye miaka 28.