Ligi ya Tanzania bara imeshuka ubora
Joyce Shedrack
January 25, 2024
Share :
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya Ligi 10 bora Afrika kwa mwaka 2023 na Tanzania imeshika nafasi ya 6 kutoka ya 5 mwaka 2022.
Huu ni msimamo wa ligi 10 bora barani Afrika kwa mujibu wa IFFHS
1. Misri
2. Morocco
3. Algeria
4. Tunisia
5. Afrika kusini
6. Tanzania
7. Nigeria
8. Angola
9. Zambia
10. Ivory Coast
Pia kwa takwimu za ligi zote duniani ligi ya Tanzania imeshuka kutoka nafasi ya 9 mwaka 2022 hadi ya 64 mwaka 2023.