pmbet

Lijue daraja kubwa kuliko yote duniani (The Danyang–Kunshan Grand)

Eric Buyanza

March 7, 2024
Share :

Danyang–Kunshan Grand, ni Daraja lililopo nchini China ambalo mpaka sasa ndilo linaloshikilia rekodi ya kuwa Daraja kubwa na refu zaidi duniani, likiwa na urefu wa kilomita 164.8.
 

Jumla ya wafanyakazi elfu 10 walitumika katika ujenzi wa daraja hili lililochukua muda wa miaka 4 kukamilika, ujenzi ulianza mwaka 2006 na kukamilika mwaka 2010 na kufunguliwa rasmi tarehe 30 June mwaka 2011.
 

Ujenzi wake uligharimu dola za kimarekani Bilioni 8.5 (US$8.5 Billion) mpaka linakamilika, ikimaanisha kuwa kila kilomita moja ya daraja hilo iligharimu dola Milioni 51 kujengwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet