Lil Wayne ataja orodha yake ya marapa 5 bora zaidi wa muda wote
Eric Buyanza
June 29, 2024
Share :
Nguli wa muziki wa Hip-hop kutoka Marekani, Lil Wayne, ametaja orodha yake ya marapa watano bora wa muda wote.
Wayne aliweka hadharani orodha hiyo akiwa kwenye mahojiano wiki hii kwa kuwataja Eminem, Jay-Z, Missy Elliot, Notorious B.I.G, na Drake.
Hata hivyo, alisema orodha hiyo haiko katika mpangilio maalum.