Liverpool kuchuana na Man Utd na Arsenal kumnunua nyota huyu
Eric Buyanza
April 30, 2024
Share :
Liverpool wako tayari kushindana na Arsenal pamoja na Manchester United ili kupata saini ya beki wa Crystal Palace, Marc Guehi kwenye dirisha kubwa la usajili, kwa mujibu wa Football Insider.