Liverpool kuvunja rekodi yao ya uhamisho?
Eric Buyanza
May 15, 2024
Share :
Liverpool wanaweza kuvunja rekodi yao ya uhamisho iwapo dau la pauni milioni 103 kwa mshambuliaji wa Real Madrid, Rodrygo litakubaliwa na klabu hiyo ya Uhispania.
The Reds wamepanga kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake cha msimu ujao.