pmbet

Liverpool yamgeukia huyu baada ya kumkosa Alonso

Sisti Herman

April 24, 2024
Share :

Klabu ya Liverpool ambayo kwasasa inatafuta mrithi wa nafasi ya kocha wao Mkuu Jurgen Klopp inatajwa kuwania saini ya kocha mkuu wa klau ya Fayernood ya nchini Uholanzi Arne Slot.

Slot ambaye ameiongoza Fayernood kutwaa kombe la FA la Uholanzi ameingia kwenye orodha ya makocha wanaohusishwa kuchukua nafasi ya Klopp baada ya awali kocha wa Bayer Leverkusen Xabi Alonso na kocha wa Sporting CP Ruben Amorim kutajwa kwenye orodha hiyo pia.

Fayernood ipo nafasi ya pili kwenye ligi kuu nchini Uholanzi, nyuma PSV Eindhoven wanaoongoza msimamo wa ligi hiyo

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet