pmbet

Liverpool yawachomolea Bayern, wasema Diaz hauzwi

Eric Buyanza

July 2, 2025
Share :

Liverpool wamekataa mpango wa Bayern Munich kumnunua Luis Diaz.

Mkurugenzi wa michezo wa Bayern, Max Eberl ameambiwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 hauzwi.

Hii ni mara ya pili msimu huu kwa Liverpool kukataa kumuachia Diaz, itakumbukwa iliwahi kutoa msimamo kama huo kwa Barcelona mwanzoni mwa dirisha la usajili msimu huu.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet