Luis Enrique bado anahitaji taji la UEFA akiwa na PSG
Sisti Herman
August 13, 2026
Share :

Licha ya kutoka kutwaa mataji mengi msimu huu likiwemo la Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na PSG, kocha Luis Enrique ameendelea kusisitiza kuwa bado anahitaji kutwaa mataji mengi ikiwemo ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na PSG.
Kocha huyo raia wa Hispania ameshinda Mataji 13 alishinda tangu ajiunge na Paris Saint-Germain.
🏆🏆🏆 Kombe la Super Cup la Ufaransa
🏆🏆🏆 Ligi ya 1
🏆🏆 Kombe la Ufaransa
🏆🏆 UEFA Champions League
🏆🏆 UEFA Super Cup
🏆 Kombe la Mabara
Mataji aliyotwaa mfululizo;
🔁 𝑩𝒂𝒄𝒌 𝒕𝒐 𝒃𝒂𝒄𝒌 Ligue1
🔁 𝑩𝒂𝒄𝒌 𝒕𝒐 𝒃𝒂𝒄𝒌 Kombe la Ufaransa
🔁 𝑩𝒂𝒄𝒌 𝒕𝒐 𝒃𝒂𝒄𝒌 French Super Cup
🔁 𝑩𝒂𝒄𝒌 𝒕𝒐 𝒃𝒂𝒄𝒌 Ligi ya Mabingwa
🆕🔁 𝑩𝒂𝒄𝒌 𝒕𝒐 𝒃𝒂𝒄𝒌 UEFA Super Cup





