Luis Suarez amfuata Messi Marekani
Eric Buyanza
December 22, 2023
Share :
Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool na Barcelona Luis Suarez ambaye amemaliza mkataba wake Gremeo ya Brazil, yupo kwenye hatua za mwisho kujiunga na Inter Miami ya nchini Marekani.
Suarez anatajwa kuungana na swahiba wake wa zamani Lionel Messi ambaye walikua na wakati mzuri kwa pamoja Barcelona.