pmbet

Luka Modric kuongezewa mwaka mmoja Real Madrid

Eric Buyanza

May 25, 2024
Share :

Kiungo mkongwe wa Croatia, Luka Modric ataongezewa mkataba wa mwaka mmoja Real Madrid baada ya fainali ya za UEFA Champions League.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38 mkataba wake unamalizika mwezi Juni.

Real Madrid imekuwa ikiendeleza sera yake ya kuwaongeza mwaka mmoja wachezaji wote walio na umri wa zaidi ya miaka 30.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet