Lukaku wa Azam afanyiwa upasuaji Sauzi
Sisti Herman
March 14, 2024
Share :
Klabu ya Azam Fc imethibitisha kuwa mshambuliaji wao raia wa Senegal Alassane Diao "Lukaku" amefanyiwa upasuaji baada ya kupata majeraha ya goti.
Alassane kama ilivyo kwa wachezaji wengine walio majeruhi anatibiwa kwenye hospitali ya Vicent Palotti nchini Afrika Kusini na atakuwa nje ya uwanja kwa miezi zaidi ya 7.