pmbet

Lungu alikataza Hichilema asisogelee jeneza lake

Sisti Herman

June 13, 2025
Share :

 

Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, imesema kuwa marehemu aliacha maagizo ya wazi kwamba Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, “asiwe karibu na mwili wake,” huku mvutano mkubwa ukiendelea kuhusu mipango ya mazishi.

Lungu alifariki wiki iliyopita nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 68, na serikali ilikuwa imepanga kuurejesha mwili wake Jumatano, lakini ikashindwa, Msemaji wa familia, wakili Makebi Zulu, amesema marehemu alitaka mazishi ya faragha.

Hali hiyo imewaacha Wazambia wengi katika sintofahamu, huku serikali ikitangaza maombolezo ya kitaifa kwa siku saba.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet