pmbet

Lupita awa mwanamke wa kwanza Mwafrika kuwa Rais!

Eric Buyanza

December 14, 2023
Share :

Muigizaji Lupita Nyong’o anatarajiwa kuongoza Baraza la Majaji katika tamasha la kimataifa la filamu la Berlinale mwezi Februari mwaka 2024.
 

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Berlinale wamechapisha taarifa hiyo ambayo imemtangaza Lupita Nyong’o kuwa Rais wa Baraza la Kimataifa la majaji katika tamasha la 74 la Kimataifa la filamu la Berlinale ifikapo mwaka 2024, na dhumuni la kumchagua yeye ni kuthamini anachokifanya.
 

Ikumbukwe kuwa Lupita ndiye mwanamke wa kwanza mwenye asili ya kiafrika ambaye anatarajia kuongoza Baraza hilo.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet