pmbet

Mabaunsa wawapiga Askari na waandishi wanaosaka wavuta shisha

Sisti Herman

January 8, 2024
Share :

Jeshi la Polisi nchini Kenya linawashikilia watu 21 baada ya Polisi, maafisa wa Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni ya Kupambana na Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) na waandishi wa habari kuvamia baa ya Kettle House huko Lavington, Nairobi ili kuwakamata wavuta shisha. 

 

Polisi wamesema walinzi wa baa hiyo walitumia nguvu kuwazuia ambapo wakati wa vurugu hizo, maafisa watatu wa Polisi, dereva wa NACADA na wanahabari wanne walijeruhiwa na baadhi yao kupoteza vifaa kama simu na kamera.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet