pmbet

Mabeach Boy wa Coco Beach waanika ukweli!

Eric Buyanza

December 5, 2023
Share :

Huku shutuma zikielekezwa kwa mabeach boy wa Coco Beach jijini Dar es salaam, kuwa huwa wanawafanyia vitendo vya kihuni wadada wanaowafundisha kuogelea hususan wakishawafikisha kwenye kina kirefu cha maji.
 

Wenyewe wameibuka na kukanusha huku wengine wakisema huwa wanaelewana! Je wanaelewana kivipi?
Fuatilia mahojiano ya mwandishi wetu aliyeongea nao.
 

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet