Mabusu yamkosesha kazi mrembo Neynah kwa Diamond
Joyce Shedrack
March 19, 2024
Share :
Mrembo Neynah anayetumika kama (video vixen) kwenye video za wasanii maarufu akiwemo Rayvanny kwenye ngoma ya 'Marry Me' amefunguka sababu ya kukataa kufanya kazi na Diamond akisema sababu kubwa ni yeye kushindwa kuvaa mavazi yanayomuacha utupu na kukataa kupigwa mabusu.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.