Madrid kuachana na Alaba msimu huu
Sisti Herman
April 17, 2026
Share :

Klabu ya Real Madrid imeripotiwa kuwa kwenye mipango ya kumuacha huru mchezaji wao kiraka David Alaba kabla ya msimu huu kuisha.
Beki huyo wa Austria anaweza kuwa huru kwaajili ya kusajiliwa na timu yoyote Ulaya au nje ya bara hilo.





