pmbet

Madrid kumkosa Courtois hadi Mei

Sisti Herman

March 22, 2026
Share :

 

Klabu ya Real Madrid imethibitisha kuwa kipa wao Thibaut Courtois atakuwa nje ya uwanja baada ya kuumia kwa misuli.

Courtois pia anaweza mechi zote 2 za hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Bayern Munich kulingana na Cope,na imeripotiwa kuwa atarejea mwezi Mei.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet