pmbet

Magoli 70 ya Salah Misri, hizi ni nchi alizozifunga

Sisti Herman

November 23, 2026
Share :

Nyota wa Misri Mohammed Salah amefikisha magoli 70 akiwa na timu ya Taifa hilo na kuwa mfungaji bora wa muda wote wa taifa hilo.

Hizi ni Bendera za timu za mataifa mbalimbali alizozifunga 👑🇪🇬

Je umeiona Bendera ya Taifa lako?

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet