Magori na Wabunge waipa Simba Queens Motisha ya Milioni 5
Sisti Herman
November 3, 2026
Share :

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakuregenzi wa klabu ya Simba Crescenticius Magori ameambatana na Waheshimiwa Wabunge ambao ni Wanachama wa Simba SC, Mh.Rashid Shangazi ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi, Mh.Elibariki Kingu na Mh. Dougras Massaburi wametembelea timu ikiwa Jijini Dodoma.
Pamoja na kutoa salamu kwa wachezaji na benchi la ufundi pia wametoa motisha ya shilingi milioni tano kwa timu ikiwa ni kama hamasa ya kuendelea kufanya vizuri.





