pmbet

Mahrez astaafu rasmi kucheza Algeria

Sisti Herman

January 11, 2026
Share :

 

Baada ya kutanza rasmi kabla ya kuanza kutimua vumbi kwa michuano ya AFCON 2025 kuwa huenda hii ikawa mara ya ke ya mwisho kushiriki , Nyota wa Algeria Riyad Mahrez ameripotiwa kutangaza rasmi kuhitimisha safari yake na timu ya taifa ya Algeria baada ya kucheza mchezo wake wa mwisho wa AFCON 2025 usiku wa leo 🇩🇿
 

Mahrez anastaafu akiwa ameacha historia kubwa ndani ya Desert Foxes, akihesabika kama mmoja wa wachezaji wakubwa zaidi kuwahi kuichezea Algeria.

 

📊 Takwimu zake za Taifa:

 

👕 Mechi: 98

⚽ Mabao: 37

🎯 Asisti: 36

🏆 Ubingwa wa AFCON: 2019
 

Kwa mchango wake mkubwa, uongozi na vipaji vya kipekee uwanjani, Mahrez ataendelea kukumbukwa kama ikon wa soka la Algeria na Afrika kwa ujumla.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet