"Majambazi yamenibipu nitawapigia" Sirro
Sisti Herman
July 15, 2025
Share :
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amesema atawapigia wahalifu waliombipu.
Sirro amesema amekasirishwa na kitendo cha kuteka magari kilichotokea wilayani Kibondo mwishoni mwa wiki iliyopita na kwamba hatua madhubuti zimechukuliwa kukabiliana na wale wote waliohusika na tukio tukio.