pmbet

Majeraha kumuweka Saka nje ya uwanja kwa wiki nne.

Joyce Shedrack

August 25, 2025
Share :

Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal Bukayo Saka huwenda akakosekana uwanjani kwa kipindi cha wiki tatu hadi wiki nne baada ya kupata jeraha la misuli ya paja 'hamstring' katika mchezo dhidi ya Leeds United.
Bukayo Saka injury latest after Arsenal defeat to Spurs | Football | Metro  News
Taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na klabu yake Saka zinaripoti kuwa nyota huyo atakaa nje ya uwanja kwa wiki nne akiuguza jeraha lake baada ya kuumia katika mchezo huo.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet