pmbet

Majeraha yamuondoa Kai kambini Ujerumani

Sisti Herman

September 25, 2026
Share :

 

Mshambuliaji nyota wa klabu ya Arsenal, Kai Havertz, amelazimika kuondoka ghafla kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ujerumani ili kurejea London kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya dharura (MRI). Hali hii imejiri baada ya mchezaji huyo kuumia nyama za nyuma ya paja (hamstring) wakati wa mchezo wa kuwania Kombe la Mataifa ya Ulaya (Nations League) dhidi ya Uholanzi.

Havertz (27) alilazimika kutolewa nje katika dakika ya 30 ya kipindi cha kwanza kwenye mchezo huo uliomalizika kwa sare ya 1-1 katika Uwanja wa Johan Cruyff Arena.

Mechi hiyo ilikuwa ya kwanza kwa kocha mpya wa Ujerumani, Jurgen Klopp, tangu akabidhiwe mikoba ya kuinoa timu hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet