Shirikisho la soka nchini Argentina limetangaza kwamba nahodha wao Lionel Messi atasikosa mechi mbili za kirafiki.Hii ni baada ya kuumia kwenye michezo iliyopita ya Ligi Kuu Marekani MLS dhidi ya Nashville.