pmbet

Majirani Kenya wapangwa kundi D kufuzu Afcon 2027.

Joyce Shedrack

May 19, 2026
Share :

Kenya imepangwa kundi ‘D’ ikiwa pamoja na Eritrea, Guinea na Afrika Kusini huku Uganda iikiwa ipo kundi ‘H’ ikiwa na Libya, Tunisia na Botswana.

Nchi hizo wenyeji zitashiriki michezo ya mchujo ya kufuzu AFCON 2027 licha ya kuwa tayari zimefuzu kwa faida ya kuwa mwenyeji hivyo kwenye makundi yao anatafutwa mshindi mmoja wa kuungana nao kushiriki michuano hiyo.
 

Droo hiyo imefanyika leo katika jiji la Cairo nchini Misri.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet