pmbet

MAJONZI OLD TRAFFORD: Carrick atokwa na machozi kisa kipigo

Eric Buyanza

September 17, 2026
Share :

Kocha mkuu wa Manchester United, Michael Carrick, ameshindwa kuzuia hisia zake na kutokwa na machozi mbele ya waandishi wa habari, kufuatia kipigo cha aibu cha mabao 3-2 dhidi ya Brighton, ambacho kimeiondoa timu hiyo kwenye michuano ya Carabao Cup.

 

Katika mkutano na waandishi wa habari Carrick alionekana kuwa na macho  nyevunyevu, akishindwa kupata maneno ya kusema huku sauti yake ikitetemeka kwa mshtuko.

 

United walipoteza mchezo huo wa raundi ya tatu huko Old Trafford jana usiku, licha ya kuwa mbele kwa mabao 2-0 ndani ya dakika 10 za kwanza za mchezo kupitia kwa Marcus Rashford na Amad Diallo.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet