Makabila atangaza kufanya show mwezi Mtukufu
Joyce Shedrack
March 20, 2024
Share :
Msanii wa muziki wa singeli Dulla Makabila huenda akashindwa kujizuia kutokufanya show ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kutokana na kitita alichowekewa mezani ili kukubali kufanya show.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.