Makipa wanaoongoza kwa 'Cleansheets' ligi kuu
Sisti Herman
April 18, 2024
Share :
Hii hapa ni orodha ya makipa bora watano wanaoongoza kwa mechi nyingi kutoruhusu kufungwa goli (Cleansheets) kwenye ligi kuu Tanzania bara.
1. Ley Matampi - 10 (Coastal Union)
2. Djigui Diarra - 9 (Yanga)
3. Costantine Deusdedith - 8 (Geita Gold)
4. Jonathan Nahimana - 7 (Namungo)
5. John Noble - 7 (Tabora)
Kipa wa timu yako yupo nafasi ya ngapi?