pmbet

Makocha Kenya walipwa stahiki zao

Sisti Herman

November 12, 2026
Share :

 

Hatimaye, kocha wa timu ya taifa ya Kenya, Benni McCarthy, na benchi lake la ufundi wamelipwa mishahara yao pamoja na marupurupu mengine, kutoka wizara ya michezo ya nchi hiyo.

Hatua hiyo inakuja wakati Kenya ikijiandaa na mchezo wa kufuzu michuano ya AFCON 2027, dhidi ya Afrika Kusini.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet