pmbet

Makonda kupeleka huduma za matibabu bure kwa siku 7 mkoani wa Arusha

Eric Buyanza

June 5, 2024
Share :

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaahidi wakazi wa Arusha kuwa kuanzia tarehe 24 mwezi huu ofisi yake itapeleka huduma ya matibabu bure kwa wananchi wa mkoa mzima wa Arusha kwa siku saba bila malipo yoyote, na kutakuwa na madaktari bingwa kutoka hospitali zote kubwa Tanzania.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet