Makundi ya hatua ya 8 bora ligi ua under 20
Sisti Herman
June 9, 2026
Share :

Droo ya hatua ya nane bora, ligi ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 iliyo chini ya TFF, imefanyika leo Juni 09, ambapo Simba na Yanga zimeangukia katika makundi tofauti.
Hatua hiyo inapigwa kwa mtindo wa makundi, yakipangwa makundi mawili yenye timu nne kila kundi.
Kundi A: Mtibwa Sugar, Yanga SC, Mashujaa FC, Mbeya City.
KUndi B: Azam FC, Dodoma Jiji, Simba SC, JKT Tanzania.
Kipute kinaanza rasmi Juni 18 kwenye Dimba la Azam Complex kuanzia Juni 18.





