pmbet

Mama mzazi wa mwigizaji Carina afariki siku 40 baada ya mwanae kufariki.

Joyce Shedrack

June 6, 2025
Share :

Baada ya mwezi mmoja na wiki kadhaa kupita taarifa ya kusikitisha zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mama wa msanii Carina amefariki dunia.

Ndani ya Boksi: Kifo cha Carina somo kwa tulio hai | Mwananchi
Mama Carina alikuwa anasumbliwa na presha na kisukari na hakuweza hata kushiriki arobaini ya mwanaye wiki iliyopita.

Taarifa za kifo chake na maradhi aliyokuwa akiugua ilithibitishwa na Kaka wa Marehemu Carina na kesho tarehe 7 juni na atazikwa katika makaburi ya kisutu jiji Dar es salaam.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet