pmbet

Mama Ntilie aenda jela maisha, kwa kuishi kinyumba na kivulana cha miaka 15

Eric Buyanza

April 11, 2024
Share :

Mama ntilie aliyefahamika kwa jina la Asha Chamchuno (46) amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingono dhidi ya mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 15.

Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman alisema mamalishe huyo alikutwa akiishi kinyumba na mtoto huyo. 

Aliwaeleza waandishi wa habari kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Machi 22, mwaka huu.
TSN

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet