Mamelodi yaondoa wachezaji 7
Sisti Herman
July 7, 2025
Share :
Klabu ay Mamelodi Sundowns limetangaza kuachana na wachezaji watano kwa pamoja huku idadi ya walioondoka ikifikia 7 tangu msimu kumalizika.
Walioondoka hadi sasa Sundowns;
❌ Sanele Tshabalala
❌ Thabang Sibanyoni
❌ Sifiso Ngobeni
❌ Lucas Suarez
❌ Sipho Mbule
❌ Lebohang Maboe
❌ Rivaldo Coetzee
Mamelodi inapitisha panga zito sana kwenye dirisha hili.