Man City waweka hela mezani ili kuipiku Real Madrid
Eric Buyanza
February 1, 2024
Share :
Manchester City wanaripotiwa kutaka kumsajili beki wa pembeni wa Bayern Munich Alphonso Davies.
Real Madrid kwa sasa ndio wanapewa nafasi kubwa ya kumpata mlinzi huyo wa Canada lakini mabingwa hao wa Uingereza wanaripotiwa kuwa tayari kushindana na Los Blancos na wako tayari kuweka mezani kiwango cha klabu hiyo ya Ujerumani wanachokihitaji cha € 80m.