Man City yatumia Bilioni 310 kumnasa mido wa Morocco
Sisti Herman
August 24, 2026
Share :

Manchester City imeripotiwa kutumia zaidi ya Euro Milioni 310 (zaidi ya Tsh Milioni 310) kwaajili ya kiungo wa kimataifa wa Morocco Ayyoub Bouaddi kutua klabuni hapo katika saa chache zijazo akitokea Lille.
Imethibitishwa kuwa ada ya uhamisho ni €95m pamoja na €5m za ziada kwa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 18, ambaye yuko tayari kuwa mchezaji wa Man City hadi Juni 2031.





