pmbet

Man U na Man City vitani kumgombea beki Michael Kayode

Eric Buyanza

February 7, 2026
Share :

Manchester United, Newcastle na Man City wameingia kwenye kinyang'anyiro cha kuigombea saini ya beki bora wa kulia wa Brentford, Michael Kayode mwenye umri wa miaka 21.

 

United wanapaswa kufanya lolote kuipata huduma ya Kayote, haswa baada ya kuenea kwa tetesi kuwa Diogo Dalot anaweza kuondoka Man U msimu huu wa joto.

 

Brentford, kwa upande wao wanafahamu kikamilifu kiwango cha kipaji cha mchezaiji wao, ambacho kiliwagharimu pauni milioni 15 kutoka Fiorentina na sasa wameweka dau la pauni milioni 50 kwa timu itakayoonyesha nia ya kumtaka.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet