Man U wazieleza timu za Saudia kiwango wanachotaka kwa wachezaji hawa
Eric Buyanza
January 23, 2024
Share :
TETESI ZA USAJILI
Usajili Manchester United wameweka wazi kiwango wanachotaka kutoka kwa klabu za ligi ya Saudia (Saudi Pro League) kwa winga wa Uingereza Jadon Sancho na winga wa kiBrazil Antony Matheus dos Santos.
Taarifa zinasema Manchester United wanataka karibu Pauni milioni 50 kwa kila mchezaji.